Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro Mh. Amiri J. Nondo akimtambulisha
Diwani mpya Mh. Deogratius P. Mzeru kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM)
aliyeshinda kiti cha Udiwani kata ya Tungi kutokana na kifo cha
aliyekuwa diwani wa kata hiyo. Mh. Mzeru alishinda nafasi hiyo kwa
kishindo kwa kuwashinda wapinzani wake kutoka vyama vingine kwa tofauti
ya kura nyingi.
No comments:
Post a Comment