Wednesday, 9 July 2014

Baadhi ya Madiwani waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ndani ya Manispaa kwa kiwango cha lami. Mkandarasi aliyeshinda zabuni hiyo ni CGI Contractor Ltd